This blog bassed on dairly NEWS AND ACTIVITIES....niyetu wote TANZANIA tuhabarishane na tufumbuane.Together as one..GOD BLESS TANZANIA GOD BLESS TANZANIAN!!!!!!!
nicolaus andrew kajale
mimi ni kijana wa ki-TANZANIA......naipenda nchi yangu,naipenda TANZANIA!
Thursday, June 06, 2013
MSANII M2 THE P AWASILI NCHINI TANZANIA KUELEKEA MSIBANI MOROGORO
Msanii M2theP, aliekuwa na Ngwea nchini South Africa, amewasili jijini Dar leo hii na yuko njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya kumzika rafiki yake kipenzi.M2theP licha ya kuweza kufika hapa lakini hali yake bado haijakaa sawa. Amewashukueu watanzania wote waliomuombea na amefika salama Tanzania. "tutakuwa pamoja kwenda kumzika ndugu yangu, kipenzi changu Albert Mangwea, nashukuru sana watanzania kwa kuniombea, asanteni na endeleeni kuniombea, hali yangu haijawa nzuri zaidi. asanteni alisema M2theP!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment