Msanii mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, King Majuto amesema hivi kariburi alimshawishi Wema Sepetu azungumze na mpenzi wake Diamond Platnumz ili wafanye kazi ya pamoja.......je? itakuaje.
NICK+255
This blog bassed on dairly NEWS AND ACTIVITIES....niyetu wote TANZANIA tuhabarishane na tufumbuane.Together as one..GOD BLESS TANZANIA GOD BLESS TANZANIAN!!!!!!!
nicolaus andrew kajale
mimi ni kijana wa ki-TANZANIA......naipenda nchi yangu,naipenda TANZANIA!
Sunday, October 12, 2014
Tuesday, July 02, 2013
welcome back president OBAMA
Tunategemea mambo mengi kubadilika kutokana na ujio wa rais wa marekani BARACK OBAMA
hususani ni katika
suala liza la kiuchumi.....tunategemea mengi kutoka kwake !!!!
suala liza la kiuchumi.....tunategemea mengi kutoka kwake !!!!Thursday, June 06, 2013
WASHIRIKI AMBAO WAPO KIZIMBANI WIKI HII KWENYE BBA THE CHASE!!!!!
Hawa ni miongoni mwa WASHIRIKI ambao wameingia kwenye kikaango cha BIG BROTHER wiki hii....
miongoni mwao ni MTANZANIA mwenzetu,dada yetu FEZA ....lakini wiki hii imekua ngumu sana kutabiri ni mshiriki gani ambaye anaweza kutoka wiki hii....tuungane kuwaunga mkono wa TANZANIA wenzetu katika kinyang'anyiro hiki cha BIG BROTHER AFRICA SEASON SIX THE CHASE!!!!!!!
TUWAPIGIE WATANZANIA WENZETU KURA KWA WINGI!!!!!

: Lost lovers will reunite
: Lost lovers will reunite
Biggie announced that the Housemate
with the most crushes in the Diamond
house is Zimbabwean hunk Hakeem .
When asked who he would like to be
with in the Rendevous Room, he didn’t
hesitate with his choice, which was
pretty obvious. He chose to spend time
in the Rendevous Room with his long
lost love from the Ruby House, Cleo.
When Feza heard that Hakeem had
chosen to be with Cleo on Saturday,
her reaction seemed casual. Could she
be suppressing a bit of jealousy? Or is
she genuinely happy Hakeem is seeing
his girl? You be the judge.
Meanwhile in the Ruby House, Biggie
announced that Cleo got the most
crushes out of all the Rubies
Biggie announced that the Housemate

with the most crushes in the Diamond
house is Zimbabwean hunk Hakeem .
When asked who he would like to be
with in the Rendevous Room, he didn’t
hesitate with his choice, which was
pretty obvious. He chose to spend time
in the Rendevous Room with his long
lost love from the Ruby House, Cleo.
When Feza heard that Hakeem had

chosen to be with Cleo on Saturday,
her reaction seemed casual. Could she
be suppressing a bit of jealousy? Or is
she genuinely happy Hakeem is seeing
his girl? You be the judge.
Meanwhile in the Ruby House, Biggie
announced that Cleo got the most
crushes out of all the Rubies
UINGEREZA YAKUBALI KUWAFIDIA MAU MAU
Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa itawalipa fidia ya dola milioni thelathini manusura wa harakati za ukombozi wa Uhuru wa Kenya Mau Mau.
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza William Hague ametangaza kuwa serikali yake itawalipa wale wote walioteswa na askari wa ukoloni katika miaka ya 1950.
Taarifa zinazohusiana
Kenya
Waliokuwa wanachama wa vuguvugu hilo waliwasilisha kesi mahakamani kwa mateso na dhuluma walizodai kutendewa na uliokuwa utawala wa ukoloni miaka ya 50.Huenda pia Uingereza itatangaza fidia.
Waliokuwa wanachama wa vuguvugu hilo waliwasilisha kesi mahakamani kwa mateso na dhuluma walizodai kutendewa na uliokuwa utawala wa ukoloni miaka ya 50.Huenda pia Uingereza itatangaza fidia.
Zaidi ya wakenya 5,000, waliteswa baadhi wakinyanyaswa na waliokuwa wakoloni wa Uingereza
HATIMAYE MSANII ALBERT MANGWEA AFIKISHHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE!!!
Hapa ndo mahali ulipolazwa mwili wa msanii ALBERT MANGWEAR KIJIJI KWAO MOROGORO!!!!
NA hawa ni mamia ya watu wakijongea kwenda kimpumzisha ndugu yetu marehemu ALBERT MANGWEAR kijijini kwao morogoro!!!!!!
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI......AMENI
NA hawa ni mamia ya watu wakijongea kwenda kimpumzisha ndugu yetu marehemu ALBERT MANGWEAR kijijini kwao morogoro!!!!!!
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI......AMENI
MR NICE ATIMAE ATEMWA GRANDPA RECORDS!!!!!
Baada ya story nyingi kutapakaa, kupitia mitandao mbali mbali hasa ya nchini Kenya, kuwa msanii Mr Nice ametemwa na record iliyokuwa ikimsimamia kazi zake (Grandpa Recods) iliyoko jijini Nairobi kwa kisa cha yeye kupenda pombe, wanawake na kupigana hovyo, kitu kinachopelekea kuchafua picha ya kampuni hiyolakini pia kusahau majukumu yake anayotakiwa kuyakamilisha kama msanii . 255 imeongea na CEO wa Grandpa "Rafiga" na amethibitisha kuachana na Mr Nice lakini amekanusha sababu zilizotajwa za yeye kuachana na Mr Nice
kuna sababu ndio zilizopelekea kuachana na Mr Nice, la msingi ni msanii hawezi kuwa na management mbili, hawezi kusign contract mbili bila kusema kuhusu contract hiyo nyingine, alikuwa na contract na Sallam pamoja na Lmar na iko active, so sisi kama company tumeamua hapna, tumesitisha kisheria.
kuhusu kusema kuwa wameachana na Mr Nice kwasababu ya ulevi ugomvi na wanawake, amesema kuwa, ni kile midea kinachoripoti lakini yeye kama yeye hajasema kitu kama hicho,na hizo story ni personal na time hii sio time ya kuwa na beef na mtu!!!!!!!
Watoto Finland hulazwa kwa visanduku vya Karatasi?
Kwa miaka 75, kina mama wajawazito wamekuwa wakipewa na serikali visanduku vya karatasi. Visanduku hivyo vimekuwa vikitolewa kama sehemu ya vitu muhimu vya mwanzo kwa mtoto atakapozaliwa, kama vile vile nguo, mashuka na midori, ambavyo pia vinaweza kutumika kama kitanda. Na baadhi ya watu wanasema vitu hivyo vimeisaidia Finland kufanikiwa kuwa moja ya nchi ambayo ina viwango vya chini kabisa vya vifo vya watoto duniani.
Imekuwa ni desturi iliyojengekea ambapo visanduku vya karatasi hutolewa kwa mama wajawazito tangu miaka ya 1930 na imepangwa na serikali kutolewa kwa watoto wote nchini Finland, bila kujali hali ya familia wanazotoka, ni mwanzo wenye usawa katika maisha ya watoto.
Taarifa zinazohusiana
afya
Vifaa vya uzazi - ni zawadi kutoka serikalini na ipo kwa mama wote wajawazito.
Vifaa hivyo ni pamoja na nguo za mtoto, mfuko wa kulalia, vifaa vya kumbebea nje ya nyumba, sabuni za kuogea na mafuta ya mtoto, pamoja na nepi, matandiko na godoro dogo.
Godoro likiwa ndani ya kisanduku cha karatasi linakuwa kitanda cha kwanza cha mtoto. Watoto wengi kutoka familia zenye hali tofauti za maisha, kwanza wanalala katika sanduku salama la karatasi la pembe nne.
Mpango wa mwaka 1947 wa vifaa kwa mama mzazi, unampa chaguo la kuchukua sanduku hilo au kuchukua ruzuku ya fedha taslimu, ambayo kwa sasa ni euro 140, lakini asilimia 95% wanapendelea kuchukua sanduku ambalo lina thamani zaidi.
Utamaduni huuu umedumu tangu mwaka 1938. Kwa kuanzia, mpango huu uliwahusu tu familia zenye vipato vya chini, lakini ukabadilika mwaka 1949.
"Si tu kwamba uliwalenga wanawake wanaotarajia kujifungua lakini sheria mpya ilimaanisha, ili kupata ruzuku hiyo, au sanduku la mzazi, walitakiwa kumwona daktari au muuguzi wa zahanati ya manispaa kabla ya kufikisha miezi minne ya ujauzito," anasema Heidi Liesivesi, ambaye anafanya kazi Kela - Taasisi ya Bima ya Jamii ya Finland.
Kwa hiyo sanduku hilo linakuwa na vitu muhimu ambavyo mama wazazi wanatakiwa kuwa navyo kwa ajili ya watoto wao wachanga, lakini pia inasaidia wanawake wajawazito kuwa katika uangalizi wa madaktari na wauguzi wa serikali ya Finland.
Katika miaka ya 1930 Finland ilikuwa nchi maskini na kiwango cha vifo vya watoto kilikuwa cha juu ambapo katika kila watoto 1,000 waliozaliwa, 65 walifariki dunia. Lakini hali hiyo ilibadilika haraka katika miongo iliyofuata.

MSANII M2 THE P AWASILI NCHINI TANZANIA KUELEKEA MSIBANI MOROGORO
Msanii M2theP, aliekuwa na Ngwea nchini South Africa, amewasili jijini Dar leo hii na yuko njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya kumzika rafiki yake kipenzi.M2theP licha ya kuweza kufika hapa lakini hali yake bado haijakaa sawa. Amewashukueu watanzania wote waliomuombea na amefika salama Tanzania. "tutakuwa pamoja kwenda kumzika ndugu yangu, kipenzi changu Albert Mangwea, nashukuru sana watanzania kwa kuniombea, asanteni na endeleeni kuniombea, hali yangu haijawa nzuri zaidi. asanteni alisema M2theP!!!
:breaking news:mume wa khadija khopa afariki dunia
breaking news:mume wa khadija khopa afariki dunia
Malkia wa mipasho Khadija Omari Kopa amefiwa na mumewe (Jaffari Ally) usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lugalo, jijini Dar es salaam.Marehem alilazwa katika hospitali hiyo siku ya jumatatu ya wiki hii, na mpaka anafariki mke wake (Kadija Kopa) alikuwa Rukwa kikazi ambapo leo hii anatarajiwa kufika jijini Dar kwa ajili ya mazishi ya mumewe. msiba kwa Dar upo maeneo ya mtogole nyumbani kwa mama yake marehem Jaffari Ally!!!!!!!
kushoto ni mume wa gwiji wa misic wa TAHARAB (marehemu Jaffari Ally)
Monday, June 03, 2013
DJ Fetty: HUYU NDO BABA MZAZI WA WEMA SEPETU
NICK THE SHOOTER: HUYU NDO BABA MZAZI WA WEMA SEPETU: Leo hii kupitia mtandao wa Instagram, Pttiman alitupia picha akiwa baba yake mzazi, mzee Sepetu, huku pembeni akiwepo mtu wake wa karibu ...
DJ Fetty: HIKI NDICHO KILICHOMUUA NGWEA
NICK THE SHOOTER: HIKI NDICHO KILICHOMUUA NGWEA: Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya sh...
UJIO MPYA WA BLOG YANGU MPYA(NICKTHESHOOTER.BLOGSPOT.COM)
TANZANIA tuungane mkono katika kuendeleza hivi vyombo vyetu vya habari hususani blogs kama hizi....hii ni blog yangu ya kwanza lakini natumaini itafanya vizuri kama web page nyingine.....tuungane mkono kuendeleza vyombo hivi vya habari....tupendane na tudumishe AMANI NA UPENDO !!!!!!

welcome to my precious page lets share what we have.......together we can make changes!!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)